Kiswahili: Unabii wa Habari za Biblia Aprili-Juni 2017

Here is a pdf link to the Kiswahili edition of BNP magazine of the Continuing Church of God: Unabii wa Habari za Biblia Aprili-Juni 2017.

Katika makala hii

2. Kutoka kwa Mhariri: Kongamano la Afrika 2017. Kanisa la Mungu Linaloendelea (CCOG) lilikuwa na kongamano la baadhi ya viongozi wake mwaka huu wa 2017.
3. Makabila 12 ya Waisraeli wako wapi? Wakati wengi wanajua wanakopatikana kabila la Yuda, wengi hawajui mahali makabila 12 wako (pamoja na ‘’makabila nusu’’) ama
walikoenda.
16. Vidokezi Ishirini na Vinane vya Maombi Yanayofaa: Sehemu ya 7. Je, ungependa kujifundisha jinsi ya kufanya maombi yako yafae zaidi?
22. Somo la 12. Kozi ya Biblia: Thibitisho la Historia ya Biblia-Utangulizi.
27. Pasaka: Je, Inahusu Kifo cha Yesu pekee? Je, Wakristo wanapaswa kuadhimisha Pasaka? Jalada la Nyuma:Intaneti na Redio:Hii inaonyesha watu mahali pa kupata ujumbe wa
Kanisa la Mungu Linaloendelea(CCOG).

Here is a pdf link to the Kiswahili edition of BNP magazine: Unabii wa Habari za Biblia Aprili-Juni 2017.